Tanzania inang'ara katika mwanga wa uongozi thabiti wa Rais Samia Suluhu Hassan, ambaye ameonyesha dhamira ya dhati ya kuimarisha umoja, kukuza uzalendo, na kusherehekea mafanikio ya kitaifa.
Tanzania inang'ara katika mwanga wa uongozi thabiti wa Rais Samia Suluhu Hassan, ambaye ameonyesha dhamira ya dhati ya kuimarisha umoja, kukuza uzalendo, na kusherehekea mafanikio ya kitaifa.
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa, ameweka wazi mikakati yake ya kuboresha sekta ya habari kupitia ushirikiano wa karibu na wanahabari.
Mkuu wa Mkoa wa Dares Salaam, Albert Chalamila amesema mpaka Jana jumla ya watu waliofariki dunia kutokana na kuporomoka kwa jengo la ghorofa Kariakoo ilikuwa ni wanne huku sababu ikiwa sio kukosa
Makamu wa Rais wa Malawi, Saulos Chilima, Amefariki Katika Ajali ya Ndege.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi nwa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Simiyu Dk. Yahya Nawanda na kufanya uteuzi wa viongozi kadhaa.
Mkurugenzi wa Wasafibet Nasibu Abdul amezindua Promosheni mpya ya Jipate na EURO katika kipindi hiki cha michuano hiyo inayotarajiwa kuanza Juni 14 nchini Ujerumani.
Zaidi ya wadau wa mifugo 300 wanatarajiwa kushiriki Maonesho ya Mifugo na mnada yanayotarajiwa kufanyika kuanzia Juni 14- 15, 2024 katika viwanja vya Ubena Estate Chalinze Mkoani Pwani.
Kampuni ya Mawasiliano, Tigo imezindua rasmi Sako kwa Bako na Energizer ambapo wamekuja na simujanja mpya ya Energizer U652S.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dk. Doto Biteko ameipongeza Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania(TMA) kwa kuendelea kutoa huduma bora za hali ya hewa nchini.
Afisa Usimamizi wa Mazingira wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA), Bi.
RAIS umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge , Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Dkt.Tulia Ackson amesema kuwa tani Mil.7 za uzalishaji wa taka ambazo zimekuwa zikizalishwa nchini ni asimil