Na Mwandishi Wetu
Wizara ya Maliasili na Utalii inaendelea kuunga mkono juhudi za Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.
Mkurugenzi wa Msama Promotions ndg Alex Msama Amewaonya waimbaji wote wa nyimbo za injili Ambao wamekuwa wakishiriki kwenye majukwaa na wasanii muziki wa kidunia, kwani kufanya ivo ni kushiriki kwe
Kiongozi Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, ameweka wazi changamoto kubwa ambazo chama hicho kinakutana nazo katika maandalizi ya kampeni za uchaguzi wa serikali za m
Tanzania imetajwa kuwa kati ya mataifa 10 bora barani Afrika ambayo yana miundombinu bora zaidi ya barabara.
Tanesco yaachana na Mkataba wa Miaka 20 wa Ununuzi wa Umeme na Songas: Hatua Kuelekea Kujitegemea kwa Nishati chini ya Uongozi wa Rais Samia
Tangu aingie madarakani Machi 2021 hadi Agosti 2024, Rais Samia Suluhu Hassan ameufungua uchumi wa Tanzania kwa dunia na kujenga mazingira bora ya biashara za kimataifa.
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameelezea dira yake ya kuifanya Tanzania kuwa mzalishaji mkubwa wa chakula barani Afrika kupitia mikakati mitatu mikuu ya Serikali katika sekta ya kilimo.
Wakati Watanzania wanajiandaa kwa uchaguzi wa serikali za mitaa, ambao ni nyenzo muhimu kwa wananchi kushiriki kwenye mchakato wa maendeleo ya kijamii, maswali makubwa yanaibuka kuhusu Chadema na v
Taarifa za hivi karibuni kutoka Chadema zinaashiria mvutano wa madaraka kati ya Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema, na Katibu wake, Amani Golugwa.
Uchumi wa Tanzania kumi bora Africa, Rais Samia kiongozi mwanamke pekee kati nchi zinazofanya vizuri!