Tanzania inang'ara katika mwanga wa uongozi thabiti wa Rais Samia Suluhu Hassan, ambaye ameonyesha dhamira ya dhati ya kuimarisha umoja, kukuza uzalendo, na kusherehekea mafanikio ya kitaifa.
Tanzania inang'ara katika mwanga wa uongozi thabiti wa Rais Samia Suluhu Hassan, ambaye ameonyesha dhamira ya dhati ya kuimarisha umoja, kukuza uzalendo, na kusherehekea mafanikio ya kitaifa.
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa, ameweka wazi mikakati yake ya kuboresha sekta ya habari kupitia ushirikiano wa karibu na wanahabari.
Mkuu wa Mkoa wa Dares Salaam, Albert Chalamila amesema mpaka Jana jumla ya watu waliofariki dunia kutokana na kuporomoka kwa jengo la ghorofa Kariakoo ilikuwa ni wanne huku sababu ikiwa sio kukosa
Mwanachama Mwandamizi mstaafu wa CHADEMA Dkt. Wilbroad Slaa, ameibua unafiki mkubwa ndani ya chama chake cha zamani ukweli ambao umekuwa ukinong’onwa lakini hautamkwi wazi.
NDANI Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) jahazi limezidi kuzama.Hii ni kutokana na namna ambavyo, viongozi wa juu wa chama hicho wameendelea kusigana wenyewe kwa wenyewe huku wakiwekeana u
Chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, imepiga hatua ya kihistoria kuelekea mfumo wa kisheria unaowajibika zaidi na wa haki, kama inavyoonekana katika Ripoti ya 2024 ya Mradi wa Haki Duniani
Kiongozi Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, ameweka wazi changamoto kubwa ambazo chama hicho kinakutana nazo katika maandalizi ya kampeni za uchaguzi wa serikali za m
Tanzania imetajwa kuwa kati ya mataifa 10 bora barani Afrika ambayo yana miundombinu bora zaidi ya barabara.
Tanesco yaachana na Mkataba wa Miaka 20 wa Ununuzi wa Umeme na Songas: Hatua Kuelekea Kujitegemea kwa Nishati chini ya Uongozi wa Rais Samia
Tangu aingie madarakani Machi 2021 hadi Agosti 2024, Rais Samia Suluhu Hassan ameufungua uchumi wa Tanzania kwa dunia na kujenga mazingira bora ya biashara za kimataifa.
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameelezea dira yake ya kuifanya Tanzania kuwa mzalishaji mkubwa wa chakula barani Afrika kupitia mikakati mitatu mikuu ya Serikali katika sekta ya kilimo.