Tanzania inang'ara katika mwanga wa uongozi thabiti wa Rais Samia Suluhu Hassan, ambaye ameonyesha dhamira ya dhati ya kuimarisha umoja, kukuza uzalendo, na kusherehekea mafanikio ya kitaifa.
Tanzania inang'ara katika mwanga wa uongozi thabiti wa Rais Samia Suluhu Hassan, ambaye ameonyesha dhamira ya dhati ya kuimarisha umoja, kukuza uzalendo, na kusherehekea mafanikio ya kitaifa.
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa, ameweka wazi mikakati yake ya kuboresha sekta ya habari kupitia ushirikiano wa karibu na wanahabari.
Mkuu wa Mkoa wa Dares Salaam, Albert Chalamila amesema mpaka Jana jumla ya watu waliofariki dunia kutokana na kuporomoka kwa jengo la ghorofa Kariakoo ilikuwa ni wanne huku sababu ikiwa sio kukosa
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeibuka mshindi wa kwanza katika utoaji wa taarifa kwa umma miongoni Mwa Mamlaka za Maji Nchini.
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Kanisa Katoliki Jimbo la Bukoba limemsimamisha kutoa huduma za kichungaji Padri, Elipidius Rwegoshora kufuatia tuhuma zinazomkabili za kuhusika katika mauaji ya mtoto mwenye ulemavu wa ngozi, Asimw
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Jokate Mwegelo amesema lengo kubwa la kuwasili mkoani Iringa ni mpango mkakati wa kuinua kituo cha Ihemi kuwa chachu na fursa zaidi
Serikali kupitia Wizara ya Maji imeingia makubaliano ya ushirikiano na Kampuni ya Shanxi ya Utafiti wa Madini juu ya kufanya utafiti wa kihaidrojia katika rasilimali maji chini ya ardhi utakaofany
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya wahakikishe kila halmashauri inaanzisha operesheni maalum za ulinzi kwa watu wenye ualbino.
Naibu Waziri wa Afya, Dkt.
Wakazi wa Kata ya Sinza, Wilaya ya Kinondoni wametolewa hofu ya upatikanaji wa huduma ya maji kwenye maeneo yao kufuatia jitihada kubwa zinazotekelezwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira
Jeshi la polisi limemkamata aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Yahaya Nawanda (46) kwa tuhuma za kumwingilia kinyume na maumbile mwanafunzi wa chuo ambaye jina lake limehifadhiwa.
Wateja wa huduma za Maji katika kata za Mwananyamala na Makumbusho katika Wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam wametakiwa kulipa bili zao kwa wakati ili kuiwezesha DAWASA kuboresha zaidi huduma