Na Mwandishi Wetu
Wizara ya Maliasili na Utalii inaendelea kuunga mkono juhudi za Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa, ameweka wazi mikakati yake ya kuboresha sekta ya habari kupitia ushirikiano wa karibu na wanahabari.