Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Gambia, Mhe.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Gambia, Mhe.
MKURUGENZI wa Msama Promotions Alex Msama amepewa tuzo ya Heshima na Chama cha Muziki wa Injili nchini (CHAMUITA) kama Muandaaji Bora wa matamasha ya nyimbo za Injili muda wote kuinua na kusapoti m
Mkurugenzi wa Msama Promotions na Dira TV Tanzania ALEX MSAMA, amewataka watu wote wenye lengo la kumchafua na kuharibu jina la Nabii mkuu Geor Davie waaache mara moja kwani amekuwa akitoa huduma y
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema hakijawahi kuletewa hoja ya kugawana madaraka kutoka Chama chochote au kutoka kwa Serikali wala hoja ya kupewa Majimbo ya Uchaguzi au kugawana n
Rais Samia Suluhu Hassan amealikwa kushiriki mkutano wa viongozi wa G20 utakaofanyika Rio de Janeiro nchini Brazil kuanzia Novemba 18 hadi 19, 2024 ukiwa na kauli mbiu inayosema 'Kujenga ulimwengu
Benson Kigaila, ambaye ni kiongozi wa CHADEMA, amekuja na maoni ya moja kwa moja kuhusu Tundu Lissu.
Mwanachama Mwandamizi mstaafu wa CHADEMA Dkt. Wilbroad Slaa, ameibua unafiki mkubwa ndani ya chama chake cha zamani ukweli ambao umekuwa ukinong’onwa lakini hautamkwi wazi.
NDANI Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) jahazi limezidi kuzama.Hii ni kutokana na namna ambavyo, viongozi wa juu wa chama hicho wameendelea kusigana wenyewe kwa wenyewe huku wakiwekeana u
Chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, imepiga hatua ya kihistoria kuelekea mfumo wa kisheria unaowajibika zaidi na wa haki, kama inavyoonekana katika Ripoti ya 2024 ya Mradi wa Haki Duniani
Kiongozi Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, ameweka wazi changamoto kubwa ambazo chama hicho kinakutana nazo katika maandalizi ya kampeni za uchaguzi wa serikali za m
Tanzania imetajwa kuwa kati ya mataifa 10 bora barani Afrika ambayo yana miundombinu bora zaidi ya barabara.
Tanesco yaachana na Mkataba wa Miaka 20 wa Ununuzi wa Umeme na Songas: Hatua Kuelekea Kujitegemea kwa Nishati chini ya Uongozi wa Rais Samia
Tangu aingie madarakani Machi 2021 hadi Agosti 2024, Rais Samia Suluhu Hassan ameufungua uchumi wa Tanzania kwa dunia na kujenga mazingira bora ya biashara za kimataifa.