Waislam kote duniani leo wameanza ibada muhimu ya mwezi mtukufu wa Ramadhan.Moonlight Media Inawatakia waislam wote mfungo mwema.

Mohamed Abdulrahman katika tahariri yake anaangazia maisha ndani ya mwezi huu mnamo wakati ambapo dunia imegubikwa na mizozo kila mahali na kusababisha kupanda kwa maisha.

Share with Others