Kasongo ndiye aliyetunga pia wimbo wa "Utakuja kuanguka kwenye matopeee ndio ujue kazi ni muhimu oooh mamaaa"

Ndala alikuwa kiboko ya njia bana kuanzia enzi za chunusi na dukuduku ye, hadi kesi ya kanga dah.

Mguza bana enzi zake na makwizi orijino du zaire alikuwa hashikiki. akishika gitaa la salo alikuwa di anapiga muziki mpaka jana asubuhi. Hivi bado yupo jela? alimchuku amke wa nani hadi afungwe maisha yeye na watoto wake? hadi mtoto wake wa miaka 17 (minor) kufungwa maisha!

Sheria lazima iwe na macho kwa watoto, hilo waheshimiwa wabunge inabidi waliangalie upya na kulitungia sheria, hasa kwa kosa ambalo si la kuchukua maisha ya ntu.

Share with Others