Mjini Ouagadougou Bukina Faso, mahakama ya kijeshi leo imetoa hukumu kwa Rais wa zamani Blaise Compaore kwa kuhusika na mauaji ya Thomas Sankara. Kwa taarifa zaidi huyu hapa Aboubakary Liongo Share with Others