Wakati Ufaransa ikiendelea kuunga mkono harakati za kuisaidia Ukraine dhidi ya Urusi, barani Afrika nchi hiyo inazidi kupoteza ushawishi.
Mali ambayo mkoloni wa zamani wa Ufaransa imetangaza kuyafungia matangazo ya  vyombo vya Utangazaji vya Ufaransa France 24 na Radio France International. Mohammed Abdulrahman kwa niaba ya Moonlight akiwa Cologne amewakusanyia zaidi.