Nakumbuka nilikuwa siwakosi kwenye klabu moja pale Sinza nimeisahau jina. Kila mwisho wa wiki nakwenda kushika kitambaa cheupe. Ndala achana naye kabisa. Vile vidole vyake vilikuwa vimechanjiwa gitaa Share with Others