Katika kipindi hiki cha Ramadan, kisiwani Zanzibar ni utamaduni uliozoeleka kwa Waislamu kuandaa vyakula mbalimbali vyenye mvuto wa aina yake. Miongoni mwa vyakula hivyo Jicho la mke mwenza kikiwa ni miongoni mwa chakula pendwa katika msimu huu.
Jicho la mke mwenza ni chakula cha aina gani na kinaandaliwa vipi? Mwandishi wa BBC Esther Namuhisa alitembelea visiwani Zanzibar na kuandaa taarifa ifuatayo